sw_tn_fork/2ki/25/18.md

29 lines
650 B
Markdown

# Kamanda wa mlinzi
maneno yametokea sawa sawa katika 25:8.
# Seraya
Hili ni jina la mtu.
# kuhani wa pili
Hili neno linamrejea Zefania. Maana nyingine iwezekanayo ni "kuhani chini ya Seraya."
# walinzi wa lango
Tafsiri kama katika 7:9.
# chukua mfungwa
"chukua na kutunza bila kukimbia"
# afisa aliyekuwa msimamizi wa maaskari
Tafsiri nyingine inaweza kusomwa "towashi aliyekuwa msimamizi wa maaskari." Towashi ni mtu ambaye ametolewa sehemu zake za siri.
# wajibu wa afisa kwa kugawa kundi la watu kwenye jeshi
Maana ziwezekanazo 1) afisa kulazimisha watu kuwa maaskari au 2) afisa kuandika chini majina ya watu watakaokuwa maaskari.