# Kamanda wa mlinzi maneno yametokea sawa sawa katika 25:8. # Seraya Hili ni jina la mtu. # kuhani wa pili Hili neno linamrejea Zefania. Maana nyingine iwezekanayo ni "kuhani chini ya Seraya." # walinzi wa lango Tafsiri kama katika 7:9. # chukua mfungwa "chukua na kutunza bila kukimbia" # afisa aliyekuwa msimamizi wa maaskari Tafsiri nyingine inaweza kusomwa "towashi aliyekuwa msimamizi wa maaskari." Towashi ni mtu ambaye ametolewa sehemu zake za siri. # wajibu wa afisa kwa kugawa kundi la watu kwenye jeshi Maana ziwezekanazo 1) afisa kulazimisha watu kuwa maaskari au 2) afisa kuandika chini majina ya watu watakaokuwa maaskari.