forked from WA-Catalog/sw_tn
650 B
650 B
Kamanda wa mlinzi
maneno yametokea sawa sawa katika 25:8.
Seraya
Hili ni jina la mtu.
kuhani wa pili
Hili neno linamrejea Zefania. Maana nyingine iwezekanayo ni "kuhani chini ya Seraya."
walinzi wa lango
Tafsiri kama katika 7:9.
chukua mfungwa
"chukua na kutunza bila kukimbia"
afisa aliyekuwa msimamizi wa maaskari
Tafsiri nyingine inaweza kusomwa "towashi aliyekuwa msimamizi wa maaskari." Towashi ni mtu ambaye ametolewa sehemu zake za siri.
wajibu wa afisa kwa kugawa kundi la watu kwenye jeshi
Maana ziwezekanazo 1) afisa kulazimisha watu kuwa maaskari au 2) afisa kuandika chini majina ya watu watakaokuwa maaskari.