sw_tn/jer/36/27.md

24 lines
491 B
Markdown

# Neno la Bwana lilikuja
"Bwana alizungumza neno lake"
# Kwa maneno ya Yeremia
"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"
# Rudi, ukachukue kitabu kingine mwenyewe
"chukua kitabu kingine tena mwenyewe"
# Kitabu cha awali
"kitabu cha kwanza"
# Kwa nini umeandika juu yake
Yehoyakimu alitumia swali ili kusisitiza kuwa Yeremia hakupaswa kuandika kuwa mfalme wa Babeli atakuja na kuvamia.
# kwa kuwa ataharibu
"na ataharibu"