# Neno la Bwana lilikuja "Bwana alizungumza neno lake" # Kwa maneno ya Yeremia "Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia" # Rudi, ukachukue kitabu kingine mwenyewe "chukua kitabu kingine tena mwenyewe" # Kitabu cha awali "kitabu cha kwanza" # Kwa nini umeandika juu yake Yehoyakimu alitumia swali ili kusisitiza kuwa Yeremia hakupaswa kuandika kuwa mfalme wa Babeli atakuja na kuvamia. # kwa kuwa ataharibu "na ataharibu"