sw_tn/jer/36/27.md

491 B

Neno la Bwana lilikuja

"Bwana alizungumza neno lake"

Kwa maneno ya Yeremia

"Yeremia alipokuwa akizungumza, Baruku aliandika maneno yote ambayo Bwana aliyazungumza kwa Yeremia"

Rudi, ukachukue kitabu kingine mwenyewe

"chukua kitabu kingine tena mwenyewe"

Kitabu cha awali

"kitabu cha kwanza"

Kwa nini umeandika juu yake

Yehoyakimu alitumia swali ili kusisitiza kuwa Yeremia hakupaswa kuandika kuwa mfalme wa Babeli atakuja na kuvamia.

kwa kuwa ataharibu

"na ataharibu"