sw_1co_text_reg/15/05.txt

1 line
254 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 5 Na kwamba alimtokea Kefa, kisha kwa wale kumi na wawili. \v 6 Kisha aliwatokea kwa wakati mmoja akina kaka na akina dada zaidi ya mia tano. Wengi wao bado wako hai, lakini baadhi yao wamelala usingizi. \v 7 Kisha alimtokea Yakobo, kisha mitume wote.