Thu Mar 17 2022 09:25:56 GMT+0200 (South Africa Standard Time)

This commit is contained in:
Tomussone José Machinga 2022-03-17 09:25:58 +02:00
commit c6235226eb
181 changed files with 247 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Paulo, aliyeitwa na Kristo Yesu kuwa mtume kwa mapenzi ya Mungu, na Sosthene ndugu yetu, \v 2 kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, kwa wale ambao wamewekwa wakfu katika Yesu Kristo, ambao wameitwa kuwa watu watakatifu. Tunawaandikia pia wale wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo katika mahali pote, Bwana wao na wetu. \v 3 Neema na amani iwe kwenu kutoka kwa Mungu baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo.

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Siku zote namshukru Mungu wangu kwa ajili yenu, kwa sababu ya neema ya Mungu ambayo Kristo Yesu aliwapa. \v 5 Amewafanya kuwa matajiri katika kila njia, katika usemi na pamoja maarifa yote. \v 6 Amewafanya matajiri, kama ushuhuda kuhusu Kristo ya kwamba amethibitishwa kuwa kweli miongoni mwenu.

1
01/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kwa hiyo hampungukiwi karama za kiroho, kama mlivyo na hamu ya kusubiri ufunuo wa Bwana wetu Yesu Kristo. \v 8 Atawaimarisha ninyi pia hadi mwisho, ili msilaumiwe siku ya Bwana wetu Yesu Kristo. \v 9 Mungu ni mwaminifu ambaye aliwaita ninyi katika ushirika wa mwana wake, Yesu Kristo Bwana wetu.

1
01/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Sasa nawasihi kaka na dada zangu, kupitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo, kwamba wote mkubali, na kwamba kusiwe na migawanyiko miongoni mwenu. Nawasihi kwamba muungane pamoja katika nia moja na katika kusudi moja. \v 11 Kwani watu wa nyumba ya Kloe wamenitaarifu kuwa kuna mgawanyiko unaoendelea miongoni mwenu.

1
01/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Nina maana hii: Kila mmoja wenu husema, "Mimi ni wa Paulo," au "Mimi ni wa Apolo", au "Mimi ni wa Kefa" au "Mimi ni wa Kristo". \v 13 Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulubiwa kwa ajili yenu? Je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Namshukuru Mungu kuwa sikumbatiza yeyote, isipokuwa Krispo na Gayo. \v 15 Hii ilikuwa kwamba hakuna yeyote angesema mlibatizwa kwa jina langu. \v 16 (Pia niliwabatiza wa nyumba ya Stephania. Zaidi ya hapo, sijui kama nilimbatiza mtu mwingine yeyote).

1
01/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kwa kuwa, Kristo hakunituma kubatiza bali kuhubiri injili. Hakunituma kuhubiri kwa maneno ya hekima ya kibinadamu, ili kwamba nguvu ya msalaba wa Kristo isiondolewe.

1
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa kuwa ujumbe wa msalaba ni upuuzi kwa wale wanaokufa. Lakini kwa wale ambao Mungu anawaokoa, ni nguvu ya Mungu. \v 19 Kwa kuwa imeandikwa, "Nitaiharibu hekima ya wenye busara. Nitauharibu ufahamu wa wenye akili."

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Yuko wapi mtu mwenye busara? Yuko wapi mwenye elimu? Yuko wapi msemaji mshawishi wa dunia hii? Je, Mungu hakuigeuza hekima ya dunia hii kuwa ujinga? \v 21 Tangu dunia imekuwa katika hekima yake haikumjua Mungu, ilimpendeza Mungu katika ujinga wao wa kuhubiri ili kuokoa wale wanaoamini.

1
01/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kwa Wayahudi huuliza ishara za miujiza na kwa Wayunani hutafuta hekima. \v 23 Lakini tunamhubiri Kristo aliyesulubiwa, aliye kikwazo kwa Wayahudi na ni ujinga kwa Wayunani.

1
01/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Lakini kwa wale ambao waliitwa na Mungu, Wayahudi na Wayunani, tunamhubiri Kristo kama nguvu na hekima ya Mungu. \v 25 Kwa kuwa ujinga wa Mungu una hekima kuliko ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Angalia wito wa Mungu juu yenu, kaka na dada zangu. Si wengi wenu mlikuwa na hekima katika viwango vya kibinadamu. Si wengi wenu mlikuwa na nguvu. Si wengi wenu mlizaliwa katika ukuu. \v 27 Lakini Mungu alichagua vitu vijinga vya dunia ili kuviaibisha vyenye hekima. Mungu alichagua kilicho dhaifu katika dunia kukiaibisha chenye nguvu.

1
01/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Mungu alichagua kile kilicho cha hali ya chini na kilichodharauliwa katika dunia. Alichagua hata vitu ambavyo havikuhesabiwa kuwa kitu, kwa kuvifanya si kitu vitu vilivyo na thamani. \v 29 Alifanya hivi ili asiwepo yeyote aliye na sababu ya kujivuna mbele zake.

1
01/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Kwa sababu ya kile Mungu alichofanya, sasa mko ndani ya Kristo Yesu, ambaye amefanyika hekima kwa ajili yetu kutoka kwa Mungu. Alikuwa haki yetu, utakatifu na ukombozi. \v 31 Kama matokeo, kama andiko lisemavyo, "Anayejisifu, ajisifu katika Bwana."

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Nilipokuja kwenu kaka na dada zangu, sikuja kwa maneno ya ushawishi na hekima kama nilivyohubiri kweli iliyofichika kuhusu Mungu. \v 2 Niliamua kutojua chochote nilipokuwa miongoni mwenu isipokuwa Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa.

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Na nilikuwa nanyi katika udhaifu, na katika hofu, na katika kutetemeka sana. \v 4 Na ujumbe wangu na kuhubiri kwangu hakukuwa katika maneno ya ushawishi na hekima. Badala yake, yalikuwa katika kumdhihirisha Roho na ya nguvu, \v 5 ili kwamba imani yenu isiwe katika hekima ya wanadadamu, bali katika nguvu ya Mungu.

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sasa tunaizungumza hekima miongoni mwa watu wazima, lakini si hekima ya dunia hii, au ya watawala wa nyakati hizi, ambao wanaopita. \v 7 Badala yake, tunaizungumza hekima ya Mungu katika ukweli uliofichika, hekima iliyofichika ambayo Mungu aliichagua kabla ya nyakati za utukufu wetu.

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Hakuna yeyote wa watawala wa nyakati hizi aliyeijua hekima hii, Kama wangeifahamu katika nyakati zile, wasingelimsulubisha Bwana wa utukufu. \v 9 Lakini kama ilivyoandikwa, "Mambo mbayo hakuna jicho limeyaona, hakuna sikio lililoyasikia, mawazo hayakufikiri, mambo ambayo Mungu ameyaandaa kwa ajili ya wale wampendao yeye."

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Haya ni mambo ambayo Mungu ameyafunua kwetu kupitia Roho, Kwa kuwa Roho huchunguza kila kitu, hata mambo ya ndani ya Mungu. \v 11 Kwa kuwa nani afahamuye mawazo ya mtu, isipokuwa roho ya mtu ndani yake? Hivyo pia, hakuna ajuaye mambo ya ndani ya Mungu, isipokuwa Roho wa Mungu.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Lakini hatukupokea roho ya dunia, lakini Roho ambaye anatoka kwa Mungu, ili kwamba tuweze kujua kwa uhuru mambo tuliyopewa na Mungu. \v 13 Tunasema mambo haya kwa maneno, ambayo hekima ya mtu haiwezi kufundisha, lakini ambayo Roho hutufundisha. Roho hutafasiri maneno ya kiroho kwa hekima ya kiroho.

1
02/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mtu asiye wa kiroho hapokei mambo ambayo ni ya Roho wa Mungu, kwa kuwa hayo ni upuuzi kwake. Hawezi kuyajua kwa sababu yanatambuliwa kiroho. \v 15 Kwa yule wa kiroho huhukumu mambo yote. Lakini huhukumiwa na wengine. \v 16 "Ni nani anaweza kuyajua mawazo ya Bwana, ambaye anaweza kumfundisha yeye?" Lakini tuna mawazo ya Kristo.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Na mimi, kaka na dada zangu, sikusema nanyi kama watu kiroho, lakini kama na watu wa kimwili. Kama na watoto wadogo katika Kristo. \v 2 Niliwanywesha maziwa na si nyama, kwa kuwa hamkuwa tayari kwa kula nyama. Na hata sasa hamjawa tayari.

1
03/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kwa kuwa ninyi bado ni wa mwilini. Kwa kuwa wivu na majivuno yanaonekana miongoni mwenu. Je, hamuishi kulingana na mwili, na je, hamtembei kama kawaida ya kibinadamu? \v 4 Kwa kuwa mmoja husema, "Namfuata Paulo" Mwingine husema "Namfuata Apolo," hamuishi kama wanadamu? \v 5 Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Watumishi wa yule mliyemwamini, kwa kila ambaye Bwana alimpa jukumu.

1
03/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Mimi nilipanda, Apolo akatia maji, lakini Mungu akakuza. \v 7 Kwa hiyo, si aliye panda wala aliyetia maji ana chochote. Lakini ni Mungu anayekuza.

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Sasa apandaye na atiaye maji wote ni sawa, na kila mmoja atapokea ujira wake kulingana na kazi yake. \v 9 Kwa kuwa sisi tu watendakazi wa Mungu, ninyi ni bustani ya Mungu, jengo la Mungu.

1
03/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kutokana na neema ya Mungu niliyopewa kama mjenzi mkuu, niliuweka msingi, na mwingine anajenga juu yake. Lakini mtu awe makini jinsi ajengavyo juu yake. \v 11 Kwa kuwa hakuna mwingine awezaye kujenga msingi mwingine zaidi ya uliojengwa, ambao ni Yesu Kristo.

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Sasa, kama mmoja wenu ajenga juu yake kwa dhahabu, fedha, mawe ya thamani, miti, nyasi, au majani, \v 13 kazi yake itafunuliwa, kwa mwanga wa mchana utaidhihirisha. Kwa kuwa itadhihirishwa na moto. Moto utajaribu ubora wa kazi wa kila mmoja alichofanya.

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kama chochote mtu alichojenga kitabaki, yeye atapokea zawadi. \v 15 Lakini kama kazi ya mtu ikiteketea kwa moto, atapata hasara. Lakini yeye mwenyewe ataokolewa, kama vile kuepuka katika moto.

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hamjui kuwa ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu? \v 17 Kama mtu akiliharibu hekalu la Mungu, Mungu atamharibu mtu yule. Kwa kuwa hekalu la Mungu ni takatifu, na hivyo na ninyi.

1
03/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Mtu asijidanganye mwenyewe, kama yeyote miongoni mwenu anadhani ana hekima katika nyakati hizi, awe kama "mjinga" ndipo atakuwa na hekima. \v 19 Kwa kuwa hekima ya dunia hii ni ujinga mbele za Mungu, Kwa kuwa imeandikwa, "Huwanasa wenye hekima kwa hila zao" \v 20 Na tena "Bwana anajua mawazo ya wenye busara ni ubatili."

1
03/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Hivyo mtu asijivunie wanadamu! Kwa kuwa vitu vyote ni vyenu. \v 22 Kama ni Paulo, au Apolo, au Kefa, au dunia, au maisha, au kifo, au vitu vilivyopo, au vitakavyokuwepo. Vyote ni vyenu, \v 23 na ninyi ni wa Kristo na Kristo ni wa Mungu.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Hivi ndivyo mtu atuhesabu sisi, kama watumishi wa Kristo na mawakili wa siri za kweli za Mungu. \v 2 Katika hili, kinachotakiwa kwa uwakili ni kwamba wawe wa kutumainiwa.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Lakini kwangu mimi ni kitu kidogo sana kuwa ninahukumiwa na ninyi au hukumu ya kibinadamu. Kwa kuwa sijihukumu hata mimi mwenyewe. \v 4 Sijihukumu mimi mwenyewe, hii haina maana kuwa mimi ni mwenye haki. Ni Bwana anihukumuye.

1
04/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kwa hiyo, msitamke hukumu juu ya lolote kabla ya wakati, kabla ya kuja kwa Bwana. Atayaleta nuruni mambo yaliyofichika gizani na kufunua makusudi ya mioyo. Ndipo kila mmoja atapokea sifa yake kutoka kwa Mungu.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sasa, kaka na dada zangu, mimi mwenyewe na Apolo nimetumia kanuni hizi kwa ajili yenu. Ili kwamba kutoka kwetu mnaweza kujifunza maana ya usemi, "Usiende zaidi ya kilivyoandikwa." Hii ni kwamba hakuna mmoja wenu ajivunaye juu ya mwingine. \v 7 Maana ni nani aonaye tofauti kati yenu na mwingine? Ni nini ulicho nacho hukukipokea bure? Kama umekwisha kupokea bure, kwa nini mnajivuna kama hamkufanya hivyo?

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Tayari mnavyo vyote ambavyo mngetaka! Tayari mmekuwa na utajiri! Mmeanza kutawala-na kwamba mnamiliki zaidi yetu sisi! Kweli, nawatakia umililki mwema ili kwamba tumiliki pamoja nanyi. \v 9 Kwa hiyo ninadhani Mungu ametuweka sisi mitume kama kutuonyesha wa mwisho katika mustari wa maandamano na kama watu waliohukumiwa kuuawa. Tumekuwa kama tamasha kwa ulimwengu, kwa malaika na kwa wanadamu.

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Sisi ni wajinga kwa ajili ya Kristo, lakini ninyi ni wenye hekima katika Kristo. Tu wanyonge, lakini ninyi mna nguvu. Mnaheshimiwa, lakina sisi tunadharauliwa. \v 11 Hata saa hii tuna njaa na kiu, hatuna nguo, tuna mapigo, na tena hatuna makazi.

1
04/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Tunafanya kazi kwa bidii, kwa mikono yetu wenyewe. Tunapodharauliwa, twabariki. Wakati tunapoteswa, twavumilia. \v 13 Tunapotukanwa, twarudisha kwa upole. Tumekuwa, na tu bado tunahesabiwa kuwa kama kukataliwa na dunia na takataka kwa mambo yote.

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Siandiki mambo haya kuwaaibisha ninyi, lakini kuwarudi ninyi kama watoto wangu niwapendao. \v 15 Hata kama mna waalimu makumi elfu katika Kristo, hamna baba wengi. Kwa kuwa nimekuwa baba yenu katika Yesu Kristo kupitia injili. \v 16 Hivyo ninawasihi mniige mimi.

1
04/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Hiyo ndiyo sababu nilimtuma kwenu Timotheo, mpendwa wangu na mtoto mwaminifu katika Bwana. Atawakumbusheni njia zangu katika Kristo, kama ninavyofundisha kila mahali na kila kanisa. \v 18 Sasa baadhi yenu wanajisifu, wakitenda kana kwamba sitakuja kwenu.

1
04/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Lakini nitakuja kwenu kitambo, kama Bwana akipenda. Ndipo nitajua si maneno yao tu wanaojisifu, lakini nitaona nguvu zao. \v 20 Kwa kuwa ufalme wa Mungu hauwi katika maneno bali katika nguvu. \v 21 Mnataka nini? Nije kwenu na fimbo au kwa upendo na katika roho ya upole?

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Tumesikia taarifa kuwa kuna zinaa miongoni mwenu, aina ya zinaa ambayo haipo hata katikati ya watu wa Mataifa. Tuna taarifa kwamba mmoja wenu analala na mke wa baba yake. \v 2 Nanyi mwajisifu! Badala ya kuhuzunika? Yule aliyefanya hivyo anapaswa kuondolewa miongoni mwenu.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Ingawa sipo pamoja nanyi kimwili lakini nipo nanyi kiroho, nimekwisha mhukumu yeye aliyefanya hivi, kama vile nilikuwepo. \v 4 Mnapokutanika pamoja katika jina la Bwana wetu Yesu, na roho yangu ipo pale kama kwa nguvu za Bwana wetu Yesu, nimekwisha mhukumu mtu huyu. \v 5 Nimekwisha kumkabidhi mtu huyu kwa Shetani ili kwamba mwili wake uharibiwe, ili roho yake iweze kuokolewa katika siku ya Bwana.

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Majivuno yenu si kitu kizuri. Hamjui chachu kidogo huharibu donge zima? \v 7 Jisafisheni ninyi wenyewe chachu ya kale, ili kwamba muwe donge jipya, ili kwamba mwe mkate usiochachuliwa. Kwa kuwa, Kristo, Mwana Kondoo wetu wa pasaka amekwisha kuchinjwa. \v 8 Kwa hiyo tusherekee karamu si kwa chachu ya kale, chachu ya tabia mbaya na uovu. Badala yake, tusherekee na mkate usiotiwa chachu wa unyenyekevu na kweli.

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Niliandika katika barua yangu kuwa msichangamane na wazinzi. \v 10 Sina maana wazinzi wa dunia hii, au na wenye tamaa au wanyang'anyi au waabudu sanamu kwa kukaa mbali nao, basi ingewapasa mtoke duniani.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Lakini sasa nawaandikia kutojichanganya na yeyote anayeitwa kaka au dada katika Kristo, lakini anaishi katika uzinzi au ambaye ni mwenye kutamani, au mnyang'anyi, au mwabudu sanamu, au mtukanaji au mlevi. Wala msile naye mtu wa namna ile. \v 12 Kwa hiyo nitajihusishaje kuwahukumu walio nje ya Kanisa? Badala yake, ninyi hamkuwahukumu walio ndani ya kanisa? \v 13 Lakini Mungu anawahukumu walio nje. "Mwondoeni mtu mwovu miongoni mwenu"

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mmoja wenu anapokuwa na tatizo na mwenzake, anathubutu kwenda kwa mahakama ya wasio haki kuliko mbele ya waumini? \v 2 Hamjui kuwa waumini watauhukumu ulimwengu? Na kama mtauhukumu ulimwengu, hamuwezi kuamua mambo yasiyo muhimu? \v 3 Hamjui kuwa tutawahukumu malaika? Kwa kiasi gani zaidi, tunaweza kuamua mambo ya maisha haya?

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kama tunaweza kuhukumu mambo ya maisha haya, kwa nini mnathubutu kupeleka mashitaka mbele ya wasiosimama kanisani? \v 5 Nasema haya kwa aibu yenu. Hakuna mwenye busara miongoni mwenu wa kutosha kuweka mambo sawa kati ya ndugu na ndugu? \v 6 Lakini kama ilivyo sasa, mwamini mmoja huenda mahakamani dhidi ya muumini mwingine, na mashitaka hayo huwekwa mbele ya hakimu asiyeamini!

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ukweli ni kwamba kuna matatizo katikati ya Wakristo yaliyoleta tayari usumbufu kwenu. Kwanini msiteseke kwa mabaya? Kwanini mnakubali kudanganywa? \v 8 Lakini mmetenda uovu na kudanganya wengine, na hao ni kaka na dada zenu!

1
06/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Hamjui kwamba wasio haki hawataurithi ufalme wa Mungu? Msiamini uongo. Waasherati, waabudu sanamu, wazinzi, wafiraji, walawiti, \v 10 wevi, wachoyo, walevi, wanyang'anyi, watukanaji-hakuna miongoni mwao atakayeurithi ufalme wa Mungu. \v 11 Na hao walikuwa baadhi yao ni ninyi. Lakini mmekwisha kutakaswa, lakini mmekwisha kuoshwa, lakini mmekwisha kutengwa kwa Mungu, lakini mmefanywa haki mbele za Mungu katika jina la Bwana Yesu Kristo na kwa Roho wa Mungu wetu.

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 "Vitu vyote ni halali kwangu", lakini si kila kitu kina faida. "Vitu vyote ni halali kwangu," lakini sitatawaliwa na kimoja cha hivyo. \v 13 "Chakula ni kwa ajili ya tumbo, na tumbo ni kwa ajili ya chakula," lakini Mungu atavitowesha vyote. Mwili haujaumbwa kwa ajili ya ukahaba, badala yake, mwili ni kwa ajili ya Bwana, na Bwana atauhudumia mwili.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mungu alimfufua Bwana na sisi pia atatufufua kwa nguvu zake. \v 15 Hamjui kwamba miili yenu ina muunganiko na Kristo? Mwawezaje kuvitoa viungo vya Kristo na kwenda kuviunganisha na kahaba? Haiwezekani!

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hamjui kwamba anayeungana na kahaba amekuwa mwili mmoja naye? Kama andiko lisemavyo, "Wawili watakuwa mwili mmoja." \v 17 Lakini anayeungana na Bwana anakuwa roho moja pamoja naye.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Ikimbieni zinaa! "Kila dhambi aifanyayo mtu ni nje na mwili wake. Lakini zinaa, mtu hutenda dhambi dhidi ya mwili wake mwenyewe.

1
06/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Hamjui kuwa miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, akaaye ndani yenu, yule ambaye mlipewa kutoka kwa Mungu? Hamjui kwamba si ninyi wenyewe? \v 20 Kwamba mlinunuliwa kwa thamani. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu kwa miili yenu.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kuhusu mambo mliyoniandikia: Kuna wakati ambapo ni vizuri mwanaume asilale na mke wake. \v 2 Lakini kwa sababu ya majaribu mengi ya zinaa kila mwanaume awe na mkewe, na kila mwanamke awe na mmewe.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mume anapaswa kumpa mke haki yake ya ndoa, na vile vile mke naye kwa mmewe. \v 4 Si mke aliye na mamlaka juu ya mwili wake, ni mme. Na vile vile, mme naye hana mamlaka juu ya mwili wake, bali mke anayo.

1
07/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Msinyimane mnapolala pamoja, isipokuwa mmekubaliana kwa muda maalum. Fanyeni hivyo ili kupata muda wa maombi. Kisha mnaweza kurudiana tena pamoja, Ili kwamba Shetani asije akawajaribu kwa kukosa kiasi. \v 6 Lakini nasema haya mambo kwa hiari na si kama amri. \v 7 Natamani kila mmoja angekuwa kama mimi nilivyo. Lakini kila mmoja ana karama yake kutoka kwa Mungu. Huyu ana karama hii, na yule ana karama ile.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kwa wasioolewa na wajane ninasema kwamba, ni vizuri kwao kama wakibaki bila kuolewa, kama nilivyo mimi. \v 9 Lakini kama hawawezi kujizuia, wanapaswa kuolewa. Kwa kuwa heri kwao kuolewa kuliko kuwaka tamaa.

1
07/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Sasa kwa wale walioolewa nawapa amri, si mimi bali ni Bwana. "Mke asitengane na mme wake." \v 11 Lakini kama akijitenga kutoka kwa mmewe, abaki hivyo bila kuolewa au vinginevyo apatane na mmewe. Na "Mme asimpe talaka mke wake."

1
07/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Lakini kwa waliobaki, nasema- mimi, si Bwana- kwamba kama ndugu yeyote ana mke asiyeamini na anaridhika kuishi naye, hapaswi kumwacha. \v 13 Kama mwanamke ana mme asiyeamini, na kama anaridhika kuishi naye, asimwache. \v 14 Kwa mme asiyeamini anatakaswa kwa sababu ya imani ya mkewe. Na mwanamke asiyeamini anatakaswa kwa sababu ya mmewe aaminiye. Vinginevyo watoto wenu wangekuwa si safi, lakini kwa kweli wametakaswa.

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Lakini mwenzi asiyeamini akiondoka na aende. Kwa namna hiyo, kaka au dada hafungwi na viapo vyao. Mungu ametuita tuishi kwa amani. \v 16 Unajuaje kama mwanamke, huenda utamwokoa mmeo? Au unajuaje kama mwanaume, huenda utamwokoa mkeo?

1
07/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kila mmoja tu aishi maisha kama Bwana alivyowagawia, kila mmoja kama Mungu alivyowaita wao. Huu ni mwongozo wangu kwa makanisa yote. \v 18 Yupo aliyekuwa ametahiriwa alipoitwa kuamini? Asijaribu kuondoa alama ya tohara yake. Yupo yeyote aliyeitwa katika imani hajatahiriwa? Hapaswi kutahiriwa. \v 19 Kwa hili aidha ametahiriwa wala asiye tahiriwa hakuna matatizo. Chenye matatizo ni kutii amri za Mungu.

1
07/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kila mmoja abaki katika wito alivyokuwa alipoitwa na Mungu kuamini. \v 21 Ulikuwa mtumwa wakati Mungu alipokuita? Usijali kuhusu hiyo. Lakini kama unaweza kuwa huru, fanya hivyo. \v 22 Kwa mmoja aliyeitwa na Bwana kama mtumwa ni mtu huru katika Bwana. Kama vile, mmoja aliye huru alipoitwa kuamini ni mtumwa wa Kristo. \v 23 Mmekwisha nunuliwa kwa thamani, hivyo msiwe watumwa wa wanadamu. \v 24 Kaka na dada zangu, katika maisha yoyote kila mmoja wetu tulipoitwa kuamini, tubaki kama vile.

1
07/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Sasa, wale wote ambao hawajaoa kamwe, sina amri kutoka kwa Bwana. Lakini nawapa maoni yangu kama nilivyo. Kwa huruma za Bwana, zinazo aminika \v 26 Kwa hiyo, ninafikiri hivyo kwa sababu ya usumbufu, ni vyema mwanaume abaki kama alivyo.

1
07/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Umefungwa kwa mwanamke na kiapo cha ndoa? Usitake uhuru kutoka kwa hiyo. Una uhuru kutoka kwa mke au hujaolewa? Usitafute mke. \v 28 Lakini kama ukioa, hujafanya dhambi. Na kama mwanamke hajolewa akiolewa, hajafanya dhambi. Bado wale wanaoana wanapata masumbufu ya aina mbalimbali. Nami nataka niwaepushe hayo.

1
07/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Lakini nasema hivi, kaka na dada zangu, muda ni mfupi. Tangu sasa na kuendelea, wale walio na wake waishi kama hawana. \v 30 Wote walio na huzuni wajifanye kama walikuwa hawana huzuni, na wote wanaofurahi, kama walikuwa hawafurahi, na wote wanaonunua kitu chochote, kama hawakumiliki chochote. \v 31 Na wote wanaoshughulika na ulimwengu, wawe kama hawakushughulika nao. Kwa kuwa mitindo ya dunia inafikia mwisho wake.

1
07/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Ninataka muwe huru kwa masumbufu yote. Mwanaume asiyeoa anajihusisha na vitu vinavyo mhusu Bwana, namna ya kumpendeza yeye. \v 33 Lakini mwanaume aliyeoa hujihusisha na mambo ya dunia, namna ya kumpendeza mkewe, \v 34 amegawanyika. Mwanawake asiyeolewa au bikira hujihusisha na vitu kuhusu Bwana, namna ya kujitenga katika mwili na katika roho. Lakini mwanamke aliyeolewa hujihusisha kuhusu vitu dunia, namna ya kumfurahisha mme wake.

1
07/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Nasema hivi kwa faida yenu wenyewe, na siweki mtego kwenu. Nasema hivi kwa vile ni haki, ili kwamba mnaweza kujiweka wakfu kwa Bwana bila kikwazo chochote.

1
07/36.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 36 Lakini kama mtu anafikiri hawezi kumtendea kwa heshima mwanawali wake, kwa sababu ya hisia zake zina nguvu sana, acha aoane naye kama apendavyo. Siyo dhambi. \v 37 Lakini kama amefanya maamuzi kutokuoa, na hakuna haja ya lazima, na kama anaweza kutawala hamu yake, atafanya vyema kama hatamwoa. \v 38 Hivyo, anayemwoa mwanamwali wake afanya vyema, na yeyote ambaye anachagua kutooa atafanya vyema zaidi.

1
07/39.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 39 Mwanamke amefungwa na mmewe wakati yu hai. Lakini kama mmewe akifa, yuko huru kuolewa na yeyote ampendaye, lakini katika Bwana tu. \v 40 Bado katika maamuzi yangu, atakuwa na furaha zaidi kama akiishi kama alivyo. Na ninafikiri kuwa nami pia nina Roho wa Mungu.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sasa kuhusu vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu: tunajua ya kwamba "sisi sote tuna maarifa." Maarifa huleta majivuno, bali upendo hujenga. \v 2 Ikiwa mtu yeyote anadhani kwamba anajua jambo fulani, mtu huyo bado hajui kama impasavyo kujua. \v 3 Lakini ikiwa mmoja wapo akimpenda Mungu, mtu huyo anajulikana naye.

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Basi kuhusu kula vyakula vilivyotolewa sadaka kwa sanamu: twajua kuwa "sanamu si kitu katika dunia hii," na ya kuwa hakuna Mungu ila mmoja tu." \v 5 Kwa maana kuna wengi waitwao miungu ikiwa ni mbinguni au duniani, kama vile walivyo "miungu na mabwana wengi." \v 6 "Ijapokuwa kwetu kuna Mungu mmoja tu ambaye ni Baba, vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake, na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na kwa yeye sisi tupo."

1
08/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Hata hivyo, ujuzi huu haupo ndani ya kila mmoja. Badala yake, wengine walishiriki ibada za sanamu hapo zamani, na hata sasa wanakula vyakula hivi kana kwamba ni kitu kilichotolewa sadaka kwa sanamu. Dhamiri zao zimepotoshwa kwa kuwa ni dhaifu.

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini chakula hakitatuthibitisha sisi kwa Mungu. Sisi sio wabaya sana kama tusipo kula, wala wema sana ikiwa tutakula. \v 9 Lakini iweni makini ya kwamba uhuru wenu usiwe sababu ya kumkwaza aliye dhaifu katika imani. \v 10 Hebu fikiri kwamba mtu amekuona, wewe uliye na ujuzi, unakula chakula katika hekalu la sanamu. Dhamiri yake mtu huyo haitathibitika hata yeye naye ale vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu?

1
08/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kwa hiyo kwa sababu ya ufahamu wako wa ukweli juu ya asili ya sanamu, kaka au dada yako aliye dhaifu, ambaye pia Kristo alikufa kwa ajili yake, anaangamizwa. \v 12 Hivyo, unapofanya dhambi dhidi ya kaka na dada zako na kuzijeruhi dhamiri zao zilizo dhaifu, mnatenda dhambi dhidi ya Kristo. \v 13 Kwa hiyo, ikiwa chakula kinasababisha kumkwaza kaka au dada, sitakula nyama kamwe, ili nisimsababishe kaka au dada yangu kuanguka.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mimi si huru? Mimi si mtume? Mimi sikumwona Yesu Bwana wetu? Ninyi si matunda ya kazi yangu katika Bwana? \v 2 Ikiwa mimi si mtume kwa wengine, angalau ni mtume kwenu ninyi. Kwa maana ninyi ni uthibitisho wa utume wangu katika Bwana.

1
09/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Huu ndio utetezi wangu kwa wale wanaonichunguza mimi. \v 4 Je hatuna haki ya kula na kunywa? \v 5 Hatuna haki kuchukua mke aliye amini kama wafanyavyo mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa? \v 6 Au ni mimi peke yangu na Barnaba ambao tunapaswa kufanya kazi?

1
09/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ni nani afanyaye kazi kama askari kwa gharama zake mwenyewe? Ni nani apandaye mzabibu na asile matunda yake? Au ni nani achungaye kundi asiyekunywa maziwa yake? \v 8 Je ninasema haya kwa mamlaka ya kibinadamu? Sheria nayo haisemi haya?

1
09/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kwa kuwa imeandikwa katika sheria ya Musa, "usimfunge ng'ombe kinywa apulapo nafaka." Ni kweli kwamba hapa Mungu anajali ng'ombe? \v 10 Au je hasemi hayo kwa ajili yetu? imeandikwa kwa ajili yetu, kwa sababu yeye alimaye nafaka inampasa kulima kwa matumaini, naye avunaye inampasa avune kwa matarajio ya kushiriki katika mavuno. \v 11 Ikiwa tulipanda vitu vya rohoni miongoni mwenu, Je! Ni neno kubwa kwetu tukivuna vitu vya mwilini kutoka kwenu?

1
09/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Ikiwa wengine walipata haki hii kutoka kwenu, Je! Sisi si zaidi? Hata hivyo, hatukuidai haki hii. Badala yake, tulivumilia mambo yote badala ya kuwa kikwazo cha injili ya Kristo. \v 13 Hamjui ya kuwa wote wafanyao kazi hekaluni hupata chakula chao kutoka hekaluni? Hamjui ya kuwa wote watendao kazi madhabahuni hupata sehemu ya kile kilichotolewa madhabahuni? \v 14 Kwa jinsi iyo hiyo, Bwana aliagiza ya kuwa wote wanaoitangaza injili sharti wapate kuishi kutokana na hiyo injili.

1
09/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Lakini sijawadai haki zote hizi. Na siandiki haya ili jambo lolote lifanyike kwa ajili yangu. Ni heri mimi nife kuliko mtu yeyote kubatilisha huku kujisifu kwangu. \v 16 Maana ikiwa naihubiri injili, sina sababu ya kujisifu, kwa sababu ni lazima nifanye hivi. Na ole wangu nisipoihubiri injili!

1
09/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kwa maana nikifanya hivi kwa hiari yangu, nina thawabu. Lakini ikiwa si kwa hiari, bado nina jukumu nililopewa kuwa wakili. \v 18 Basi thawabu yangu ni nini? Ya kuwa nihubiripo, nitaitoa injili pasipo gharama na bila kutumia kwa utimilifu wa haki yangu niliyonayo katika Injili.

1
09/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Maana japo nimekuwa huru kwa wote, nilifanyika mtumwa wa wote, ili kwamba niweze kuwapata wengi zaidi. \v 20 Kwa Wayahudi nilikuwa kama Myahudi, ili niwapate Wayahudi. Kwa wale walio chini ya sheria, nilikuwa kama mmoja wao aliye chini ya sheria ili niwapate wale walio chini ya sheria. Nilifanya hivyo ingawa mimi binafsi sikuwa chini ya sheria.

1
09/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa wale walio nje ya sheria, nilikuwa kama mmoja wao nje ya sheria, ingawa mimi binafsi sikuwa nje ya sheria ya Mungu, bali chini ya sheria ya Kristo. Nilifanya hivyo ili niwapate wale walio nje ya sheria. \v 22 Kwa walio wanyonge nilikuwa mnyonge, ili niwapate walio wanyonge. Nimekuwa hali zote kwa watu wote, ili kwa njia zote nipate kuwaokoa baadhi. \v 23 Nami nafanya mambo yote kwa ajili ya injili, ili nipate kushiriki katika baraka.

1
09/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Hamjui ya kuwa katika mbio wote washindanao hupiga mbio, lakini apokeaye tuzo ni mmoja? Hivyo pigeni mbio ili mpate tuzo. \v 25 Mwana michezo hujizuia katika yote awapo katika mafunzo. Hao hufanya hivyo ili wapokee taji iharibikayo, lakini sisi tunakimbia ili tupate taji isiyoharibika. \v 26 Kwa hiyo mimi sikimbii bila sababu au napigana ngumi kama kupiga hewa. \v 27 Lakini nautesa mwili wangu na kuufanya kama mtumwa, ili kwamba nijapokwisha kuwahubiri wengine, mimi mwenyewe nisiwe wa kukataliwa.

1
10/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Nataka ninyi mjue kaka na dada zangu, ya kuwa baba zetu walikuwa chini ya wingu na wote walipita katika bahari. \v 2 Wote walibatizwa wawe wa Musa ndani ya wingu na ndani ya bahari, \v 3 na wote walikula chakula kile kile cha roho. \v 4 Wote walikunywa kinywaji kile kile cha roho. Maana walikunywa kutoka katika mwamba wa roho uliowafuata, na mwamba ule ulikuwa ni Kristo.

1
10/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Lakini Mungu hakupendezwa sana na wengi wao, na maiti zao zilisambazwa jangwani. \v 6 Basi mambo haya yote yalikuwa mifano kwetu, ili sisi tusiwe watu wa kutamani mabaya kama na wao walivyofanya.

1
10/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Msiwe waabudu sanamu, kama wengine wao walivyokuwa. Hii ni kama ilivyoandikwa, "Watu walikaa chini wakila na kunywa, na waliinuka kucheza kwa tamaa za mapenzi." \v 8 Tusifanye uasherati kama wengi wao walivyofanya. Wakafa siku moja watu ishirini na tatu elfu kwa sababu hiyo.

1
10/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Wala tusimjaribu Kristo, kama wengi wao walivyofanya na wakaharibiwa kwa nyoka. \v 10 Na pia msinung'unike, kama wengi wao walivyonung'unika na kuharibiwa na malaika wa mauti.

1
10/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Basi mambo hayo yalitendeka kama mifano kwetu. Yakaandikwa ili kutuonya sisi - tuliofikiliwa na miisho ya zamani. \v 12 Kwa hiyo kila ajionaye amesimama awe makini asije akaanguka. \v 13 Hakuna jaribu lililowapata ninyi lisilo kawaida ya wanadamu. Ila Mungu ni mwaminifu. Hatawaacha mjaribiwe kupita uwezo wenu. Pamoja na jaribu yeye atawapa mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.

1
10/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kwa hiyo, wapendwa wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. \v 15 Nasema nanyi kama watu wenye akili, ili muamue juu ya ninalosema. \v 16 Kikombe cha baraka tubarikicho, si ushirika wa damu ya Kristo? Mkate ule tuumegao, si ushirika wa mwili wa Kristo? \v 17 Kwa kuwa mkate ni mmoja, sisi tulio wengi tu mwili mmoja. Sisi sote twapokea mkate mmoja kwa pamoja.

1
10/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Watazameni watu wa Israeli: Je! Wale wote walao dhabihu si washiriki katika madhabahu? \v 19 Nasema nini basi? Ya kuwa sanamu ni kitu? Au ya kuwa chakula kilichotolewa sadaka kwa sanamu ni kitu?

1
10/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Lakini nasema juu ya vitu vile wavitoavyo sadaka watu wapagani wa Mataifa, ya kuwa wanatoa vitu hivi kwa mapepo na sio kwa Mungu. Nami sitaki ninyi kushirikiana na mapepo! \v 21 Hamwezi kunywea kikombe cha Bwana na kikombe cha mapepo. Hamwezi kuwa na ushirika katika meza ya Bwana na katika meza ya mapepo. \v 22 Au twamtia Bwana wivu? Tuna nguvu zaidi yake?

1
10/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 "Vitu vyote ni halali," lakini si vyote vifaavyo. "Vitu vyote ni halali," lakini si vyote viwajengavyo watu. \v 24 Hakuna hata mmoja angetafuta mazuri yake tu. Badala yake, kila mmoja angetafuta mazuri ya mwenzake.

1
10/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Mnaweza kula kila kitu kiuzwacho sokoni bila kuuliza -uliza kwa ajili ya dhamiri. \v 26 Maana "dunia ni mali ya Bwana, na vyote viijazavyo." \v 27 Na mtu asiyeamini akiwaalika kula, na mnataka kwenda, kuleni chochote awapacho pasipo kuuliza maswali ya dhamiri.

1
10/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Lakini mtu akiwaambia, "Chakula hiki kimetokana na sadaka ya wapagani," msile. Hii ni kwa ajili yake aliyewaambia, na kwa ajili ya dhamiri. \v 29 Nami simaanishi dhamiri zenu, bali dhamiri ya yule mwingine. Maana kwanini uhuru wangu uhukumiwe na dhamiri ya mtu mwingine? \v 30 Ikiwa mimi natumia chakula kwa shukrani, kwanini nitukanwe kwa kitu ambacho nimeshukuru kwacho?

1
10/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Kwa hiyo, chochote mnachokula au kunywa, au chochote mfanyacho, fanyeni yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu. \v 32 Msiwakoseshe Wayahudi au Wayunani, au kanisa la Mungu. \v 33 Jaribuni kama mimi ninavyojaribu kuwapendeza watu wote kwa mambo yote. Sitafuti faida yangu mwenyewe, bali ya wengi. Nami nafanya hivi ili wapate kuokolewa.

1
11/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Nifuateni mimi, kama na mimi ninavyomfuata Kristo. \v 2 Sasa nawasifu kwasababu ya vile mnavyonikumbuka katika mambo yote. Nawasifu kwasababu mmeyashika mapokeo kama nilivyoyaleta kwenu. \v 3 Basi nataka mfahamu ya kuwa Kristo ni kichwa cha kila mwanaume, naye mwanaume ni kichwa cha mwanamke, na ya kuwa Mungu ni kichwa cha Kristo. \v 4 Kila mwanaume aombaye au atoae unabii akiwa amefunika kichwa anakiabisha kichwa chake.

1
11/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Lakini kila mwanamke aombae au kutoa unabii hali kichwa chake kikiwa wazi anakiaibisha kichwa chake. Kwa maana ni sawa sawa na kama amenyolewa. \v 6 Ikiwa kama mwanamke hatafunika kichwa chake, na akatwe nywele zake ziwe fupi. Maana ikiwa ni aibu mwanamke kukata nywele zake au kunyolewa, basi afunike kichwa chake.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More