|
\v 5 Na kwamba alimtokea Kefa, kisha kwa wale kumi na wawili. \v 6 Kisha aliwatokea kwa wakati mmoja akina kaka na akina dada zaidi ya mia tano. Wengi wao bado wako hai, lakini baadhi yao wamelala usingizi. \v 7 Kisha alimtokea Yakobo, kisha mitume wote. |