Sat Sep 03 2022 13:50:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-03 13:50:48 +03:00
parent 4cd198c002
commit e764cfc9ec
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao na kuwatakasa. Aliamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.
\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma mtu kwao na kuwatakasa. huamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.