From e764cfc9ec763aad49e7f95b1ca0614557d4a52f Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Sat, 3 Sep 2022 13:50:48 +0300 Subject: [PATCH] Sat Sep 03 2022 13:50:47 GMT+0300 (East Africa Time) --- 01/04.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/01/04.txt b/01/04.txt index f3c2d03..a18cbaa 100644 --- a/01/04.txt +++ b/01/04.txt @@ -1 +1 @@ -\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao na kuwatakasa. Aliamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi. \ No newline at end of file +\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma mtu kwao na kuwatakasa. huamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi. \ No newline at end of file