Sat Sep 03 2022 13:48:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-03 13:48:48 +03:00
parent 3f5026b2c8
commit 4cd198c002
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 1 \v 1 Kulikuwa na mtu katika nchi ya Usi jina lake Ayubu; na Ayubu alikuwa mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliyemcha Mungu na kuepukana na \v 2 uovu. Wakazaliwa kwake watoto saba wa kiume na mabinti watatu. \v 3 Alimiliki kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia moja za maksai, na punda mia tano na idadi kubwa ya watumishi. Mtu huyu alikuwa mtu taj watu wote wa mashariki.
\c 1 \v 1 Kulikuwa na mtu katika nchi ya Usi jina lake Ayubu; na Ayubu alikuwa mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliyemcha Mungu na kuepukana na \v 2 uovu. Wakazaliwa kwake watoto saba wa kiume na mabinti watatu. \v 3 Alimiliki kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia moja za maksai, na punda mia tano na idadi kubwa ya watumishi. Mtu huyu alikuwa mtu tajiri kati ya watu wote wa mashariki.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Kwa siku yake kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao na kuwatakasa. Aliamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.
\v 4 Kwa siku yake ya kuzaliwa kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao na kuwatakasa. Aliamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.

View File

@ -43,6 +43,7 @@
"nicholuskombo"
],
"finished_chunks": [
"01-title"
"01-title",
"01-01"
]
}