Fri Sep 01 2023 23:07:56 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 23:07:56 +03:00
parent 3670bd4f28
commit 31ea7782de
3 changed files with 5 additions and 1 deletions

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\c 5 \v 1 Usimkemee mwanamume mzee. Bali mtie moyo kama baba yako. Uwatiye moyo vijana wa kiume kana kwamba ni ndugu zako. \v 2 Uwatie moyo wanawake wazee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako kwa usafi wote.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Waheshimu wajane, wale walio wajane kweli kweli. \v 4 Lakini kama mjane ana watoto au wajukuu, waache kwanza wajifunze kuonesha heshima kwa watu wa nyumbani mwao wenyewe. Waache wawalipe wazazi wao mema, kwa kuwa hii inapendeza mbele za Mungu.

View File

@ -66,6 +66,8 @@
"04-09",
"04-11",
"04-14",
"05-title"
"05-title",
"05-01",
"05-03"
]
}