diff --git a/05/01.txt b/05/01.txt new file mode 100644 index 0000000..a440de5 --- /dev/null +++ b/05/01.txt @@ -0,0 +1 @@ +\c 5 \v 1 Usimkemee mwanamume mzee. Bali mtie moyo kama baba yako. Uwatiye moyo vijana wa kiume kana kwamba ni ndugu zako. \v 2 Uwatie moyo wanawake wazee kama mama zako, na wanawake vijana kama dada zako kwa usafi wote. \ No newline at end of file diff --git a/05/03.txt b/05/03.txt new file mode 100644 index 0000000..866a86e --- /dev/null +++ b/05/03.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 3 Waheshimu wajane, wale walio wajane kweli kweli. \v 4 Lakini kama mjane ana watoto au wajukuu, waache kwanza wajifunze kuonesha heshima kwa watu wa nyumbani mwao wenyewe. Waache wawalipe wazazi wao mema, kwa kuwa hii inapendeza mbele za Mungu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 5a29687..b4a3a38 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -66,6 +66,8 @@ "04-09", "04-11", "04-14", - "05-title" + "05-title", + "05-01", + "05-03" ] } \ No newline at end of file