Fri Sep 01 2023 23:05:56 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
embraceswahilibiblereview 2023-09-01 23:05:57 +03:00
parent 723d930b01
commit 3670bd4f28
5 changed files with 9 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Ujumbe huu ni wakuaminiwa na unastahili kukubaliwa kabisa. 10 Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya kazi kwa bidii sana. Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, lakini hasa kwa waaminio.
\v 9 Ujumbe huu ni wakuaminiwa na unastahili kukubaliwa kabisa. \v 10 Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya kazi kwa bidii sana. Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, lakini hasa kwa waaminio.

1
04/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Uyaseme na kuyafundisha mambo haya. \v 12 Mtu yeyote asiudharau ujana wako. Badala yake, uwe mfano kwa wote waaminio, katika usemi, mwenendo, upendo, uaminifu, na usafi. \v 13 Mpaka nitakapokuja, dumu katika kusoma, katika kuonya, na katika kufundisha.

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Usiipuuze karama iliyomo ndani yako, ambayo ulipewa kupitia unabii, kwa kuwekewa mikono na wazee. \v 15 Uyajali mambo haya. Ishi katika hayo ili kukua kwako kuwe dhahiri kwa watu wote. Zingatia sana mwenendo wako na mafundisho. \v 16 Dumu katika mambo haya. Maana kwa kufanya hivyo utajiokoa mwenyewe na wale wanaokusikiliza.

1
05/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 5

View File

@ -62,6 +62,10 @@
"04-title",
"04-01",
"04-03",
"04-06"
"04-06",
"04-09",
"04-11",
"04-14",
"05-title"
]
}