From 3670bd4f28598b5ee90f2c165b5c8d97414ef569 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: embraceswahilibiblereview Date: Fri, 1 Sep 2023 23:05:57 +0300 Subject: [PATCH] Fri Sep 01 2023 23:05:56 GMT+0300 (East Africa Time) --- 04/09.txt | 2 +- 04/11.txt | 1 + 04/14.txt | 1 + 05/title.txt | 1 + manifest.json | 6 +++++- 5 files changed, 9 insertions(+), 2 deletions(-) create mode 100644 04/11.txt create mode 100644 04/14.txt create mode 100644 05/title.txt diff --git a/04/09.txt b/04/09.txt index 0b11383..04fb8ed 100644 --- a/04/09.txt +++ b/04/09.txt @@ -1 +1 @@ -\v 9 Ujumbe huu ni wakuaminiwa na unastahili kukubaliwa kabisa. 10 Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya kazi kwa bidii sana. Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, lakini hasa kwa waaminio. \ No newline at end of file +\v 9 Ujumbe huu ni wakuaminiwa na unastahili kukubaliwa kabisa. \v 10 Kwa kuwa ni kwa sababu hii tunataabika na kufanya kazi kwa bidii sana. Kwa kuwa tunao ujasiri katika Mungu aliye hai, ambaye ni Mwokozi wa watu wote, lakini hasa kwa waaminio. \ No newline at end of file diff --git a/04/11.txt b/04/11.txt new file mode 100644 index 0000000..21192d9 --- /dev/null +++ b/04/11.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 11 Uyaseme na kuyafundisha mambo haya. \v 12 Mtu yeyote asiudharau ujana wako. Badala yake, uwe mfano kwa wote waaminio, katika usemi, mwenendo, upendo, uaminifu, na usafi. \v 13 Mpaka nitakapokuja, dumu katika kusoma, katika kuonya, na katika kufundisha. \ No newline at end of file diff --git a/04/14.txt b/04/14.txt new file mode 100644 index 0000000..fe23cab --- /dev/null +++ b/04/14.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 14 Usiipuuze karama iliyomo ndani yako, ambayo ulipewa kupitia unabii, kwa kuwekewa mikono na wazee. \v 15 Uyajali mambo haya. Ishi katika hayo ili kukua kwako kuwe dhahiri kwa watu wote. Zingatia sana mwenendo wako na mafundisho. \v 16 Dumu katika mambo haya. Maana kwa kufanya hivyo utajiokoa mwenyewe na wale wanaokusikiliza. \ No newline at end of file diff --git a/05/title.txt b/05/title.txt new file mode 100644 index 0000000..8211f71 --- /dev/null +++ b/05/title.txt @@ -0,0 +1 @@ +Sura 5 \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index b20e009..5a29687 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -62,6 +62,10 @@ "04-title", "04-01", "04-03", - "04-06" + "04-06", + "04-09", + "04-11", + "04-14", + "05-title" ] } \ No newline at end of file