forked from WA-Catalog/sw_tn
975 B
975 B
Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuelekeza Israel kwa namna watakavyowatendea wazao wa Esau
Utanunua chakula toka kwao
Yahwe anawapa ruhusa au maelekezo, siyo amri, na anawambia wasiibe. "Ninakuamuru kununua chakula kutoka kwao" au "kama unahitaji chakula, utanunua kutoka kwao"
kutoka kwao
"kutoka uzao wa Esau"
kwa pesa
Kama haya maneno hayaitajiki au kufanya tofasiri kutokuwa sahihi, unaweza kuyatoa.
Mungu wenu amewabariki ninyi...mikono yenu...kutembea kwenu...Mungu wenu...pamoja nanyi, na hamjapungukiwa.
Musa azungumza kwa wanaisraeli kama walikuwa mtu mmoja, basi mifano "wewe" na "vyao" ni umoja
nyie katika kazi zenu za mkono
Hii "kazi za mkono yenu" urejea kwa kazi yote waliofanya.
amejua kutembea kwenu
Hili ni neno lenye maana sawa kwa "anajua kile kilichotokea kwenu wakati mlipokuwa mnatembea."
miaka arobaini
40 miaka
hamjapungukiwa kitu chochote
Hii inatumika kama takwimu ya hotuba "umekuwa na kila kitu ulichohitaji."