sw_tn_fork/deu/02/04.md

13 lines
241 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Yahwe aendelea kuzungumza na Musa
# wa ndugu zako, wazao wa Esau
"wa ndugu zako, wazao wa Esau"
# Nimeutoa mlima Seir kwa Esau kama miliki
Yahwe anawakumbusha wanaisraeli kwamba amewapa eneo hili kwa wazao wa Esau.