# Taarifa ya ujumla Yahwe aendelea kuzungumza na Musa # wa ndugu zako, wazao wa Esau "wa ndugu zako, wazao wa Esau" # Nimeutoa mlima Seir kwa Esau kama miliki Yahwe anawakumbusha wanaisraeli kwamba amewapa eneo hili kwa wazao wa Esau.