sw_tn_fork/2ki/07/16.md

1.1 KiB

wakaziteka nyara kambi

Hii inarejea kuchukua vitu kutoka jeshi lililoshindwa.

Hivyo kipimo cha unga mzuri uliuzwa kwa shekeli moja, na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja

Hii inaweza kutafsiriwa katika muundo tendaji. "Hivyo watu waliuza kipimo kimoja cha unga mzuri kwa shekeli moja na vipimo viwili vya shayiri kwa shekeli moja"

kipimo kimoja cha unga mzuri ... vipimo viwili vya shayiri

Hapa neno "kipimo" linatafsiri neno "sea," ambayo ni moja ya kipimo kikavu sawa na kama lita 7. "lita 7 za unga mzuri ... lita 14 za shayiri"

shekeli

Shekeli uzito mmoja sawa na kama gram 11. "kama gram 11 za fedha" au "fedha moja ya sarafu"

kama neno la Yahwe lilivyokuwa amesema

Hapa "neno" limuwakilisha Yahwe. "kama Yahwe alivyokuwa amesema"

nahodha ambaye mkono wake ulikuwa umejifunza

Nahodha wa daraja la juu aliyekuwa msaidizi wa mfalme anazungumziwa kana kwamba alikuwa mtu ambaye mfalme amejifunza mkono wake.

kumkanyaga chini

Kundi la watu lilikuwa katika kukurupuka kupata chakula katika kambi waligonga juu ya mtu na kumkanyaga hati kufa.