sw_tn_fork/ezk/37/09.md

21 lines
309 B
Markdown

# mwanadamu
tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
# pumzi
"pumzi" au "roho" au "upepo"
# kutokakwenye pepo nne
"kutoka pande ambazo upepo unaweza kuvuma" au "kutoka kila upande"
# hawa waliouwa
"hawa watu ambao ni maadui na maafa wameawa."
# kama nilivyokuwa nimeamuru
"kama Yahwe alivyo niamuru"