sw_tn_fork/ezk/37/09.md

309 B

mwanadamu

tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.

pumzi

"pumzi" au "roho" au "upepo"

kutokakwenye pepo nne

"kutoka pande ambazo upepo unaweza kuvuma" au "kutoka kila upande"

hawa waliouwa

"hawa watu ambao ni maadui na maafa wameawa."

kama nilivyokuwa nimeamuru

"kama Yahwe alivyo niamuru"