sw_tn_fork/act/16/14.md

29 lines
535 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii ndyo mwishowa hadithi ya Lidia
# Mwanamke mmoja aitwaye Lidia
"Kulikuwa na Mwanamke aitwaye Lidia"
# muuzaji wa zambarau
"Mfanya biashara aliyeuza nguo za zambarau"
# kumuabudu Mungu
Mwenye kumuabudu Mungu ni Mataifa ambaye hutoa sifa kwa Mungu na kumfuata Yeye, lakini hafuati sheria zote za Kiyahudi.
# alitusikiliza
"Yeye alitusikiliza"
# mambo yaliyozungumzwa na Paulo
"Mambo ambayo paulo aliyasema "
# Baada ya kubatizwa yeye na nyumba yake
"walipo mbatiza Lidia na watu wa nyumbani mwake"