# Sentensi unganishi Hii ndyo mwishowa hadithi ya Lidia # Mwanamke mmoja aitwaye Lidia "Kulikuwa na Mwanamke aitwaye Lidia" # muuzaji wa zambarau "Mfanya biashara aliyeuza nguo za zambarau" # kumuabudu Mungu Mwenye kumuabudu Mungu ni Mataifa ambaye hutoa sifa kwa Mungu na kumfuata Yeye, lakini hafuati sheria zote za Kiyahudi. # alitusikiliza "Yeye alitusikiliza" # mambo yaliyozungumzwa na Paulo "Mambo ambayo paulo aliyasema " # Baada ya kubatizwa yeye na nyumba yake "walipo mbatiza Lidia na watu wa nyumbani mwake"