forked from WA-Catalog/sw_tn
645 B
645 B
Marko 12 Maelezo ya Jumla
Muundo na upangiliaji
Baadhi ya tafsiri huweka kila mstari wa mashairi kwa upande wa kulia zaidi kuliko maandiko yote ili iwe rahisi kusoma. ULB inafanya hivyo kwa mashairi katika 12:10-11,36, ambayo ni maneno kutoka Agano la Kale.
Takwimu muhimu za matamshi katika sura hii
Hali ya Kudhania
Hali za kudhania ni hali ambazo hazikutendeka. Watu huelezea hali hizi ili waweze kujifunza kile wasikilizaji wao wanafikiri ni nzuri na mbaya au sahihi na zisizo sahihi. (See: rc://en/ta/man/translate/figs-hypo)