forked from WA-Catalog/sw_tn
1023 B
1023 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anaongea
Tafuteni mahali salama
"iweni wakimbizi"
Pigenji tarumbeta
"enyi watu mnaoishi katika mji wa Tekoa jiandaeni kuangamizwa"
Tekoa
hili ni jinala mji ulio kilomita 18 kusini mwa Yerusalemu. Maana ya jina ni "pembe la kupuliza"
Simamisheni ishara juu ya Beth-Hakeremu,
"Enyi watu mnaoishi katika mji wa Beth-Hakeremu; jiandaeni kuzingirwa"
Beth-Hakeremu
Hili nij ina mji ulio kilomita 10kusini mwa Yerusalemu. Jna linamaanisha "mahali pa mizabibu."
ishara
"ishara ya kuwaonya watu kuwa kuna inakuja
kwa uovu unaoonekana
"kwa kuwa watu wanona kuwa kuna janga linalokuja"
pigo kubwa linakuja
"maangamizi makubwa"
Binti za Sayuni, warembo na mwororo
"Binti za Syuni ambao ni kama warembo na mwororo"
Binti za Sayuni
Tazama 4:30
wachungaji na kondoo wao watawaendea
"Wafame na wanajeshi wataizingira Yerusalemu
zikiwazunguka pande zote
"karibu naye pande zote
kila mtu atachunga kwa mkono wake
"kila mfalme ataangamiza akiwa na askari wake"