sw_tn_fork/ezk/22/10.md

25 lines
827 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kupitia Ezekieli kuhusu mambo mabaya ambayo watu wa Yerusalemu waliyoyafanya.
# ninyi ... wao
Hivi viwakilishi majina vinarejea kwa Yerusalemu (watu wa Yerusalemu).
# Uchi wa baba umefunuliwa
Huyu ni mke wa baba. Ni uchi ambao unaomaanisha kwa yeye kuona.
# Wamemtukana ... waliofanya machukizo pamoja ... kuwafanya uchafu wa aibu kwa mke wa mwanao mwenyewe
uchafu wa aibu** - Hizi ni njia zote za kueleza kwamba wanaume wamelala na wanwake ambao hawakutakiwa na jinsi matendo yao ya dhambi yalivyo.
# vutia
Hili neno linarejea kwenye pesa zilizolipwa na mtu kutumia pesa iliyoazimwa. Ingawa baadhi ya baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "kuvutia" katika kifungu hiki kama "kuvutia sana."
# umenisahau
kukataa kumtii Yahwe ni kama kusahau kwamba anaishi.