forked from WA-Catalog/sw_tn
827 B
827 B
Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kupitia Ezekieli kuhusu mambo mabaya ambayo watu wa Yerusalemu waliyoyafanya.
ninyi ... wao
Hivi viwakilishi majina vinarejea kwa Yerusalemu (watu wa Yerusalemu).
Uchi wa baba umefunuliwa
Huyu ni mke wa baba. Ni uchi ambao unaomaanisha kwa yeye kuona.
Wamemtukana ... waliofanya machukizo pamoja ... kuwafanya uchafu wa aibu kwa mke wa mwanao mwenyewe
uchafu wa aibu** - Hizi ni njia zote za kueleza kwamba wanaume wamelala na wanwake ambao hawakutakiwa na jinsi matendo yao ya dhambi yalivyo.
vutia
Hili neno linarejea kwenye pesa zilizolipwa na mtu kutumia pesa iliyoazimwa. Ingawa baadhi ya baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "kuvutia" katika kifungu hiki kama "kuvutia sana."
umenisahau
kukataa kumtii Yahwe ni kama kusahau kwamba anaishi.