forked from WA-Catalog/sw_tn
327 B
327 B
Nitaunyoosha mkono wangu juu ya Edomu
Tazama tafsiri yake katika 25:6.
kutoka Temani hata Dedani
Haya ni majiji mawili mkabala na Edomu. Hii inamaanisha kwamba Mungu ataiangamiza Edomu yote.
Wataanguka kwa upanga
Neno "anguka" inawakilisha kuuawa na "upanga" inarejea kwa vita. "Maadui zao watawaua kwa upanga wao"