sw_tn_fork/sng/06/11.md

21 lines
332 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kuongea mwenyewe.
# milozi
Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:12
# mimea midogo
"mimea michanga" au "matawi mapya"
# imestawi
"imefungua maua yake"
# Nilikuwa nina furaha nikahisi kama nimepakia gari ya farasi la mtoto wa mfalme
Mpenzi anatumia umbo hili ili kuonyesha jinsi alivyo na furaha.