# Maelezo ya Jumla Mpenzi anaendelea kuongea mwenyewe. # milozi Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:12 # mimea midogo "mimea michanga" au "matawi mapya" # imestawi "imefungua maua yake" # Nilikuwa nina furaha nikahisi kama nimepakia gari ya farasi la mtoto wa mfalme Mpenzi anatumia umbo hili ili kuonyesha jinsi alivyo na furaha.