sw_tn_fork/sng/06/04.md

17 lines
451 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Tano cha kitabu
# ni mzuri kama Tirza, mpenzi wangu, wapendeza kama Yerusalemu
Mpenzi ana fananisha uzuri wa mwanamke na mvuto wake kwa miji mizuri na ya kuvutia.
# wapendeza
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:5
# waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele
waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele** Uzuri wa mwanamke ni una nguvu hadi unamfanya mpenzi ahisi hana msaada, kama jeshi lilikuwa linamfuata.