# Maelezo ya Jumla Hapa ni mwanzo wa Sehemu ya Tano cha kitabu # ni mzuri kama Tirza, mpenzi wangu, wapendeza kama Yerusalemu Mpenzi ana fananisha uzuri wa mwanamke na mvuto wake kwa miji mizuri na ya kuvutia. # wapendeza Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:5 # waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele waamasisha kama jeshi lenye bendera mbele** Uzuri wa mwanamke ni una nguvu hadi unamfanya mpenzi ahisi hana msaada, kama jeshi lilikuwa linamfuata.