sw_tn_fork/rev/02/20.md

13 lines
429 B
Markdown

# Lakini ninalo hili dhidi yako
"Lakini sikubali baadhi ya vitu ulivyofanya" au "Lakini nina hasira na wewe kwa sababu ya jambo ulilofanya".
# mwanamke Yezebeli
Yesu alimzungumzia mwanamke mmoja kanisani mwao kana kwamba alikua Malkia Yezebeli kwa sababu alifanye vitendo vya dhambi kama vile alivyofanya Malkia Yezebeli zamani kabla ya huo wakati.
# Nilimpa muda wa kutubu
"Nilimpa nafasi ya kutubu" au "nilisubiri atubu"