sw_tn_fork/psa/119/115.md

9 lines
424 B
Markdown

# Unitunze kwa neno lako
"Nishikilie kwa neno lako." Hapa "neno" linawakilisha kile ambacho Mungu anawasiliana kwa watu. "Nipe nguvu kama ulivyosema utafanya" au "Niwezeshe kuwa na nguvu kama ulivyoahidi"
# na nisiaibike kwa tumaini langu
Hapa "tumaini langu" linawikilisha tumaini la mwandishi kwa Mugnu na ahadi zake. "Usinivunje matumaini." au "Usinisababishe niwe na aibu kwa kutokufanya kile ulichoahidi kufanya."