sw_tn_fork/psa/104/029.md

21 lines
471 B
Markdown

# utakapoficha uso wako
Hii ina maana ya kwamba Yahwe hawatazami wao au kuwaangalia kwa makini. "pale ambapo hautazami juu yao" au "unapowadharau"
# kurudi mavumbini
Hii ina maana ya kwamba miili yao huoza na huwa udongo tena. "miili yao huoza na kurudi ardhini"
# Unapotuma nje Roho wako
Hii ina maana ya Roho wake kutumwa kutoa uhai kwa viumbe.
# wanaumbwa
Ni roho ya Yahwe ambayo iliwaumba.
# unafanya upya uso wa nchi
"unasababisha nchi kujaa na uhai mpya"