# utakapoficha uso wako Hii ina maana ya kwamba Yahwe hawatazami wao au kuwaangalia kwa makini. "pale ambapo hautazami juu yao" au "unapowadharau" # kurudi mavumbini Hii ina maana ya kwamba miili yao huoza na huwa udongo tena. "miili yao huoza na kurudi ardhini" # Unapotuma nje Roho wako Hii ina maana ya Roho wake kutumwa kutoa uhai kwa viumbe. # wanaumbwa Ni roho ya Yahwe ambayo iliwaumba. # unafanya upya uso wa nchi "unasababisha nchi kujaa na uhai mpya"