sw_tn_fork/psa/103/020.md

13 lines
359 B
Markdown

# hutekeleza mapenzi yake
Hii ni lahaja ikimaanisha "kufanya mapenzi yake". "fanya mapenzi yake"
# katika sehemu zote ambazo hutawala
"msifu yeye katika sehemu zote ambapo hutawala"
# kwa maisha yangu yote
"na moyo wangu wote" au "na nafsi yangu yote". Msemo huu una maana ya kwamba atamsifu Yahwe kwa moyo wote na unatumika kusisitiza utii wake kwake.