# hutekeleza mapenzi yake Hii ni lahaja ikimaanisha "kufanya mapenzi yake". "fanya mapenzi yake" # katika sehemu zote ambazo hutawala "msifu yeye katika sehemu zote ambapo hutawala" # kwa maisha yangu yote "na moyo wangu wote" au "na nafsi yangu yote". Msemo huu una maana ya kwamba atamsifu Yahwe kwa moyo wote na unatumika kusisitiza utii wake kwake.