sw_tn_fork/psa/086/013.md

21 lines
415 B
Markdown

# Kwa kuwa uaminifu wako wa agano ni mkuu kwangu
"Kwa kuwa wewe ni mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako"
# umeokoa maisha kutoka vilindi vya kuzimu
Hii haimaanishi kuwa Mungu alimfufua baada ya kufa. Inamaanisha kuwa Mungu alimwokoa alipotaka kufa.
# wenye kiburi
"watu wenye kiburi"
# wameinukadhidi yangu
"wanakuja pamoja kunidhuru"
# wanatafuta maisha yangu
Hii ni njia ya kusema wanataka kumuua.