# Kwa kuwa uaminifu wako wa agano ni mkuu kwangu "Kwa kuwa wewe ni mwaminifu kwangu kwa sababu ya agano lako" # umeokoa maisha kutoka vilindi vya kuzimu Hii haimaanishi kuwa Mungu alimfufua baada ya kufa. Inamaanisha kuwa Mungu alimwokoa alipotaka kufa. # wenye kiburi "watu wenye kiburi" # wameinukadhidi yangu "wanakuja pamoja kunidhuru" # wanatafuta maisha yangu Hii ni njia ya kusema wanataka kumuua.