sw_tn_fork/psa/086/003.md

9 lines
292 B
Markdown

# siku nzima
Hii ni kukuza kwa neno. Daudi halii siku nzima kwa uhalisia. Hii inasisitiza kuwa huwa analia kwa uendelevu. "kwa uendelevu"
# Mfanye mtumishi wako kuwa na furaha
Daudi anajizungumzia kama "mtumishi wako," yaani, mtumishi wa Mungu. "Nifanye mimi, mtumishi wako" au "Nifanye"