# siku nzima Hii ni kukuza kwa neno. Daudi halii siku nzima kwa uhalisia. Hii inasisitiza kuwa huwa analia kwa uendelevu. "kwa uendelevu" # Mfanye mtumishi wako kuwa na furaha Daudi anajizungumzia kama "mtumishi wako," yaani, mtumishi wa Mungu. "Nifanye mimi, mtumishi wako" au "Nifanye"