sw_tn_fork/psa/086/001.md

13 lines
250 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
# maskini na niliye kandamizwa
"mnyonge na mhitaji"
# mwokoe mtumishi wako
Daudi anajizungumzia kama "mtumishi wako," yaani, mtumishi wa Mungu. "niokoe mimi, mtumishi wako"