# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # maskini na niliye kandamizwa "mnyonge na mhitaji" # mwokoe mtumishi wako Daudi anajizungumzia kama "mtumishi wako," yaani, mtumishi wa Mungu. "niokoe mimi, mtumishi wako"