sw_tn_fork/psa/045/010.md

25 lines
696 B
Markdown

# Sikiliza, binti
Mwandishi anaanza kuzungumza na malkia na anamuita kama "binti" yake kwa sababu ni msichana mdogo.
# tega sikio lako
Mwandishi anazungumzia kusikiliza kitu kwa makini kana kwamba ni kuinamisha sikio la mtu kuelekea kwa mtu anayezungumza. "sikiliza kwa makini"
# wasahau watu wako mwenyewe
Mwandishi anamzungumzia malkia kuacha kufuata imani na desturi za watu wake wa asili kana kwamba ni kuwasahau. "usifuate tena desturi za watu wako"
# nyumba ya baba yako
Hapa neno "nyumba" linamaanisha familia. "ndugu zako"
# Katika njia hii
"na" au "kwa hiyo"
# mfalme atatamani uzuri wako
Hii ni njia ya ustarabu ya kusema kuwa mfalme atataka kulala na malkia kama mke wake.