sw_tn_fork/psa/031/010.md

29 lines
597 B
Markdown

# Kwa kuwa maisha yangu yamechoshwa
Hapa "maisha yangu" inamaanisha mwandishi. "Nimekuwa mnyonge sana"
# na huzuni ... kwa kugumia
"kwa sababu ya huzuni yangu ... kwa sababu ya kugumia kwangu"
# miaka yangu kwa kugumia
Msemo "kuchoka" haumo, ila unadokezwa. "miaka yangu imechoshwa kwa kugumia"
# Nguvu yangu inashindwa
Hapa "Nguvu yangu" inamaanisha mwandishi. "Nimekuwa mnyonge"
# mifupa yanguinapotea
Hapa "mifupa" inamaanisha afya ya kimwili ya mwandishi. "afya yangu inashindikana"
# watu wananidharau
"watu wananitukana"
# wanatishwa na hali yangu
"wanashtushwa na hali yangu"