sw_tn_fork/pro/07/19.md

25 lines
366 B
Markdown

# hayupo nyumbani kwake
"hayupo nyumbani"
# Mwezi mpevu
nyakati ambapo mwezi utoa mwanga sana
# akamgeuza
"mwanamke akamshawishi mwanaume"
# yeye...yake
mwanake aliyeolewa anayetaka kulala na mwanaume kijana
# midomo laini
"kufurahisha kwa maneno ya kudanganya"
# alimpotosha
"alimshawishi kufanya jambo baya" au alimshawishi kufanya dhambi pamoja naye"