# hayupo nyumbani kwake "hayupo nyumbani" # Mwezi mpevu nyakati ambapo mwezi utoa mwanga sana # akamgeuza "mwanamke akamshawishi mwanaume" # yeye...yake mwanake aliyeolewa anayetaka kulala na mwanaume kijana # midomo laini "kufurahisha kwa maneno ya kudanganya" # alimpotosha "alimshawishi kufanya jambo baya" au alimshawishi kufanya dhambi pamoja naye"