sw_tn_fork/job/30/27.md

13 lines
314 B
Markdown

# Moyo wangu umetaabika na wala haupumziki
Ayubu anaongelea moyo wake kama ni mtu
# Ninarandaranda na ngozi yenye giza lakini si kusababu ya jua
"Daima nipo katika hudhuni na giza"
# ndugu wa mbwa mwitu, mshirika wa mbuni
Ayubu anafananisha mateso yake na kuomba kwake msaada kama kilio cha mbweha na mbuni.